Cifra Club

Why

Fitzon Dai

Ainda não temos a cifra desta música.

Endever classic
Linch producer
Fififitzon Dai

Freaky am not done like a ut
Yani nimetoka far na sijuti
Na kama sitamake nani luci
Damn it
Wananicheka leo nami sijali
Eti kesho unaform na nani?
Wajuwe mimi kesho rubani
Why lord (why), why me
Tofauti yangu ni nini
Kuna watu roho mbaya siwaamini
Na ipo siku yangu najiamini
Why God, mbona ivi
Wanaosali sana maskini
Eti kesho kuna form ya madini
Hizo vitu mi siamini

Nahisi, hii safari sijafika ila bado mimi naishi
Sijali hao wazushi, awanivishi
Nikikazana wanazidi kuongea nini, awanilishi
Sibahatishi, awatoshi, mamluki
Nikikumbuka virus zinafanya mimi ninaishi
Siwafichi, ila siri, siubishi
Nikatamani sana kuingia uko ndani ni mazishi
Na si utani, ni mazishi

Am the boss, trust me
Ukitaka anything, followed me
Ching ching, believe me
I go make you fame homie
Aah, nikajua hii maisha ni kustruggle
Nika suffer nikaform hio bevo
In the mid nikakosa hata meko
Na ikawa ndoto nikaform label
Ooh my God, it's really
Now I know the devil can't win
Everything in this world is really
In Jesus name you win
And the glory in him
Ofcourse me I'm in
Let's win through him
In Jesus name I win

Nahisi, hii safari sijafika ila bado mimi naishi
Sijali hao wazushi, awanivishi
Nikikazana wanazidi kuongea nini, awanilishi
Sibahatishi, awatoshi, mamluki
Nikikumbuka virus zinafanya mimi ninaishi
Siwafichi, ila siri, siubishi
Nikatamani sana kuingia uko ndani ni mazishi
Na si utani, ni mazishi

Outros vídeos desta música
    0 exibições

    Afinação da cifra

    Afinador online

    0 comentários

    Ver todos os comentários

    Entre para o Cifra Club PRO

    Tenha acesso a benefícios exclusivos no App e no Site

    • Chega de anúncios

    • Badges exclusivas

    • Mais recursos no app do Afinador

    • Atendimento Prioritário

    • Aumente seu limite de lista

    • Ajude a produzir mais conteúdo

    Cifra Club Pro

    Aproveite o Cifra Club com benefícios exclusivos e sem anúncios
    Cifra Club Pro
    Aproveite o Cifra Club com benefícios exclusivos e sem anúncios
    Ops (: Contenido disponible sólo en portugués.
    OK